top of page

Grupo

Открытая·18 пользователей

Upendo Wa Mama Maria Barikiwa Na Nyimbo Za Mama Bikira Maria.


Kila mwaka milioni moja ya wanahija wanakwenda katika mji wa Mexico na ambao wanaadhimisha Bikira Maria wa Guadalupe kila kona ya dunia. Imani yao kwa ajili ya Bara lao ni yenye nguvu ambayo inajikita na ibada hii ya Bikira Maria wa Guadalupe. Nia ya maombi ni kwa ajili ya Kanisa Katoliki ulimwenguni , umakini kwa ajili ya kilio cha walio baguliwa, wanaoishi pembeni mwa maisha, ambapo kwa kipindi cha janga wameonekana sana. Katika fursa ya siku kuu ya Bikira Maria ambayo imekwenda sambamba na Dominika ya III ya Majilio, ambapo bado inakumbusha tukio lile la kati ya tarehe 9 na 12 Desemba 1531 katika kilima cha Tepeyac, Kaskazini mwa Mji wa Mexico mama Yetu Maria alitokea. Kwa kuongozwa na imani, upendo na matumaini kama Kanisa ambalo ni watu wote wa familia moja ya kibinadamu ni kuonesha upendo wao kwa mama wa Wote, na katika ukaribu na uaminifu na Papa Francisko, ambaye ameruhusu kuadhimisa siku kuu hii katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kabla ya Sala ya Malaika wa Bwana ya kila Dominika. Amweza kufafanua Katibu wa Tume iliyoanzishwa na Papa Pio XII mnamo 1958, kwa lengo la kujadili na kusaidia Kanisa mahalia la Amerika Kusini.




Upendo Wa Mama Maria | Barikiwa Na Nyimbo Za Mama Bikira Maria.


DOWNLOAD: https://www.google.com/url?q=https%3A%2F%2Fjinyurl.com%2F2ufn6c&sa=D&sntz=1&usg=AOvVaw1tyizaLNTuy0iqZT55FuqK

041b061a72


  • О группе

    Bem-vindo ao grupo! Você pode se conectar com outros membros...

    Участники

    Página do Grupo: Groups_SingleGroup
    bottom of page